Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Msitupigie kelele na fiziksi jaman..mbona mimi memkwa nilipata 99% na walaaa nimetulia zangu sitangazi injili [emoji4][emoji4]
Dea bhanaaah bas sorry, tulikua tunazungumzia hao waliokua wanadharau na kukejeli jitihada za watu fulan ktk Elimu.
But miss u [emoji7][emoji7][emoji7].
 
Kuna Uzi mwingine nakwambia walikuwa wanajadili mtihani wa biology Mwaka jana,eti necta wanatoaje mtihani mrahisi vile eti necta ya form 6 wanauliza what is classification swali la form 2 wallah nilicheka Sana mtifuano wa mule ndani.
Hebu unitag kwenye hizo nyuzi nijionee bas cc,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila dunia ina watu jmn aaah[emoji848]
885fdb542f2847af8f6158092ec29242.jpg
 
Wanasema eti what is classification,what is cell,yaani maswali ya form 2 kabisa hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Hapo wamechukua tu swali moja ,na hata hilohilo bado unaweza usitoboe..mtoto wa form 2 aruke na paper ya form 6 advanced bios!!..watu wana mzaha Sana[emoji119]
Halafu sasa kwenye matokeo hiyo Bios imewaangusha wengi mnooh. Mwaka jana
 
Back
Top Bottom