Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Hatuoni kituuzi umepoa
au nyie mnaonaje ndugu zangu??
Hatuoni kituuzi umepoa
au nyie mnaonaje ndugu zangu??
Si kama Wewe kipenzi changuHahahaha, unacheka unawajua VISHANDU wewe, mtoto wa kishua ?
miss weka kapicha aisee......weka na mguu wakubwa wajeHatuoni kitu
Wakubwa ndo wakina nani tena haomiss weka kapicha aisee......weka na mguu wakubwa waje
Nakupigia sikupati.hebu nicheki tafadhaliGreen cityView attachment 1667790
hata mimi mkubwa.....nikiona guu hapa sichomokiWakubwa ndo wakina nani tena hao
Hii bia bukoba inapendwa saaanabalimi lifeView attachment 1667808

mimi niko darHii bia bukoba inapendwa saaana
nimepamiss tokyo
Raia wa coedudom 2009.....View attachment 1667878
nko hewani nilikua sehemu net voda inazinguaNakupigia sikupati.hebu nicheki tafadhali
Hakuna nomanko hewani nilikua sehemu net voda inazingua
Ila wee nae cc mmmh miaka 5 ufundi cherehani tyuuuh au had kudalizi batikiNikiwaambia watu nimesomea ufundi cherehani wananicheka![]()





Mwaka jana Chem ilikua ni hatareeh na nusu, inshaallah matokeo yalivotoka ilikua swafi swafi.Wenzio wanasema mtihani wa form 2
Hizo hoja nyingine hawakuzisikiza![]()