T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,489
linahbaby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila dunia ina watu jmn aaah[emoji848]View attachment 1667250
linahbaby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila dunia ina watu jmn aaah[emoji848]View attachment 1667250
Naam mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Douta bwana, ukiwa kidume ndio utaelewa nini namaanisha.
Mamboz mkuuNaam mkuu
Pouwa tu za weweMamboz mkuu
Za mimi njema/salama kabisaPouwa tu za wewe
[emoji56][emoji56]Nimekumiss piaZa mimi njema/salama kabisa
Nimekumisslavuzi mkuu
we bint uko wapi nikuletee St Anne yako nataka kwenda town ntapita nane nane[emoji120][emoji120][emoji4]
Mkuu hvyo vyote unakala peke yako?
mzee baba Safi Sana piga kazi
Hahahaha, mkuu mie niwe mkweli shule sikwenda ,kishandu tu wa mtaani ,kizungu tabuKuna couple zingine ukiziangalia unagundua tu hazijawahi kutumia kingereza kwenye mahusiano yao
Aiseee Nakufahamu
Njoo nikuachie plate mojaMkuu hvyo vyote unakala peke yako?
Mkuu nisha kula ugari na mrenda tyrNjoo nikuachie plate moja
Nipo nanenanewe bint uko wapi nikuletee St Anne yako nataka kwenda town ntapita nane nane
Nikiwaambia watu nimesomea ufundi cherehani wananicheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]