Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
....................
....................
Yaani mie nataka kujua hizo tetesi zilisikika wapi yaaniZamani kulikuwa na binadamu pia..kwahiyo yawezekana ikawa kweli.
Mzee wa pwani wewe niandalie pweza.
Sijawahi kumuona kwa macho wala kula tangu nimezaliwa.
Mimi niliambiwa na mtu muislam.Yaani mie nataka kujua hizo tetesi zilisikika wapi yaani
Like kwenye biblia au vitabu vingine au wapi mfano mimi nikitaka kujua hizo habari nazipata wapi
Kumbe akiwa hai anatisha namna hiyo[emoji21]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili ni swali au statement?
Ninapata majaribu kama Yusuf haha, unajua kuna wanawake wazuri eeeh, unajua lakini?
Nipo kwenye majaribio ya suruali[emoji23]Yaani mie nataka kujua hizo tetesi zilisikika wapi yaani
Like kwenye biblia au vitabu vingine au wapi mfano mimi nikitaka kujua hizo habari nazipata wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mm nina 34 naelekea 35
Birth date yangu inaonekana humu kwenye Profile yangu
Oohh OkayMimi niliambiwa na mtu muislam.
Ko sujui ziko wapi, yawezekana zipo kwenye hadithi zao.
Kuna couple zingine ukiziangalia unagundua tu hazijawahi kutumia kingereza kwenye mahusiano yao
Vizuri sana kama ni kwemaKwema.
Nimeongezea comment yangu.Oohh Okay
Mimi nina 34[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ule mwaka uliouandikaga ndiyo wenyewe kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipo kwenye majaribio ya suruali[emoji23]
Nimenunuliwa siruali sido[emoji2960]View attachment 1667164
Wala si kubwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona kubwa sasa
mbona hii ni jeje..Nipo kwenye majaribio ya suruali[emoji23]
Nimenunuliwa siruali sido[emoji2960]View attachment 1667164
Habari za asubuhi mpendwaNimeongezea comment yangu.
Isome tena
Mmhh SawaMimi niliambiwa na mtu muislam.
Ko sujui ziko wapi, yawezekana zipo kwenye hadithi zao.
Na Biblia pia inamuandika Yusuph Kama mtu mzuri na mwenye sura nzuri
Mnh siyo 32 kweliMimi nina 34
Ooh ingekuwa ya jeans ningeshangaa [emoji1787][emoji1787]Wala si kubwa.
Za vitambaa lazima ipywaye kidogo..haiwezi ikawa ndogo Kama jeans