Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha Mimi humu mtazamaji, vidigi digi nakamata uswahilini huku

Humu siwawezi wadada wa humu, m achagua sana,wengine sifa hatuna hatuchaguliki
😅😅Ehee ndo hivyo hivyo uvikamatie rafiki vinakuwaga vitamu sana ujue.ukivitia ndimu,pilipili na chumvi😋😋😋😋😋

Halafu kumbe nyie ndo mnafanya maisha yanakuwa magumu nishaona.ni wapi wanawake wa JF wanaonekana kuchagua sana????
 
Ehee ndo hivyo hivyo uvikamatie rafiki vinakuwaga vitamu sana ujue.ukivitia ndimu,pilipili na chumvi

Vinakuwaga vitamu sana kama vile huwa unavila/ulishaga wahi kuvila eti!!

Chakorii bhana

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Ehee ndo hivyo hivyo uvikamatie rafiki vinakuwaga vitamu sana ujue.ukivitia ndimu,pilipili na chumvi

Halafu kumbe nyie ndo mnafanya maisha yanakuwa magumu nishaona.ni wapi wanawake wa JF wanaonekana kuchagua sana????
Hahahaha, Juzi nilikamata kimoja pale papy chulo, Leo nakirudia

Wadada wa JF michango yenu humu inaonesha hivyo. Mnatufanya wengine tuwe watazamaji na wasomaji
 
Halafu juzi nilipita pale nikapaona basi nikajikuta nakuwaza tu..😅😅kumbe mawazo yangu yalikuwa sahihi..
Usiniambie kalikuwa kateke na Cheney vurugu matata kiwapo uwanja wa 6*6 kipenzi changu rafiki.

Safi..mwambie nampa 🤝kwa kutuwakilisha vyemakimataifa😅😅

Hapana mtu chake ni nyie tu ndo mnapenda kukuza mambo na kuogopa ile ni michango ya watu tu ni kama wewe unavyochangia Ina maana tukuogope!!hapana aiseh
 
Halafu juzi nilipita pale nikapaona basi nikajikuta nakuwaza tu..kumbe mawazo yangu yalikuwa sahihi..
Usiniambie kalikuwa kateke na Cheney vurugu matata kiwapo uwanja wa 6*6 kipenzi changu rafiki.

Safi..mwambie nampa kwa kutuwakilisha vyemakimataifa

Hapana mtu chake ni nyie tu ndo mnapenda kukuza mambo na kuogopa ile ni michango ya watu tu ni kama wewe unavyochangia Ina maana tukuogope!!hapana aiseh
Hahahaha tunafuata vihindi viteke huko, maana humu mnatuchagua sana Mara avatar ,Mara ID, Mara nini sijui ,aah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom