Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Usijali my wiii ndoa itakuwa na amani kama ya Dr.MwakaHiyo hapana kabisa aiseh.ninawivu zaidi ya nyenyere naweza mtoa mtu meno mimi😅😅
Usijali my wiii ndoa itakuwa na amani kama ya Dr.MwakaHiyo hapana kabisa aiseh.ninawivu zaidi ya nyenyere naweza mtoa mtu meno mimi😅😅
Huyo hatutawezana nae kabisa aiseh..na hivi ni mpole anaweza nivunja shingo nikizingua.simtaki kabisaUsijali my wiii ndoa itakuwa na amani kama ya Dr.Mwaka
Siwezi kupotea jirani...hiyo txt ni ya muda so nilikuwa sijui anamzungumzia nani.😅😅😅we naeeeHahahahahahhahaha unaona unavyopotea sasa![]()
Hujafanya lolote/chochote bhasi tu nimejikuta nawaza hicho kichanga chako ulikipata kwa njia ipi!!Nimefanyaje tena wakulungwa![]()
Kiliingia kwa njia ya tigo pesa wakulungwa😅😅Hujafanya lolote/chochote bhasi tu nimejikuta nawaza hicho kichanga chako ulikipata kwa njia ipi!!
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Unaogopesha watu etiMungu amenibariki mpendwa upande ke upande me
Sioni bia hapa#NewVegas #MoshiView attachment 1640910View attachment 1640922
Jibu murua kabisa hili hasa msimu huu wa mwisho wa mwaka
Kumbe wewe ni mama Kijacho? Hongerakichanga changu kimeruka baada ya kuona maembe...loh
Akikujibu nishtueHivi mpendwa we ni Ke au Me
Ni keHivi mpendwa we ni Ke au Me
Duh! Upande upi una function?Mungu amenibariki mpendwa upande ke upande me
We ulisikia wapi eti 😅😅Kumbe wewe ni mama Kijacho? Hongera
Tuweni wakweli hivi kuna mwanamme unaweza kuukaushia mzinga kwa style hii? Kuna mwenye huu ujasiri?