Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,562
Hahahaha Mimi humu mtazamaji, vidigi digi nakamata uswahilini hukuWee usiniambie kipenzi changu rafiki [emoji12][emoji12]
Na wewe si unavikamataga vile vidigidigi vyako mida flani hivi ya wanga[emoji41][emoji12]
Humu siwawezi wadada wa humu, m achagua sana,wengine sifa hatuna hatuchaguliki