Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Hamna mnywaji sasa 🙂🙂Sioni bia hapa
Hamna mnywaji sasa 🙂🙂Sioni bia hapa
[emoji2][emoji2][emoji2] umeandika hapo baada ya kuona ugwaduugwadu wa maembeWe ulisikia wapi eti [emoji28][emoji28]
Wapi BobuView attachment 1641071
[emoji41]
Kwenye sherehe ndugu..Wapi Bobu
Nimeandika tu mkuu..[emoji2][emoji2][emoji2] umeandika hapo baada ya kuona ugwaduugwadu wa maembe
#NewVegas #MoshiView attachment 1640910View attachment 1640922
Nikuletee maembe kutoka kona za mto Zambezi?Nimeandika tu mkuu..
Leta kula kitu mkuu kasoro sumuNikuletee maembe kutoka kona za mto Zambezi?
Mi naona nimechelewa nimekuta imefutwa. Chakorii sikubali!Mmmh, ungenitag pekee yangu ,ningevimbaje humu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Tisha sanaLeta kula kitu mkuu kasoro sumu
Tayari [emoji16][emoji16][emoji16]Badilisha kwanza avatar SYB ndipo tuzungumze[emoji851]
Kwani ile avatar unayoipenda ya muigizaji ndio hy?Badilisha kwanza avatar SYB ndipo tuzungumze[emoji851]
Ewaaaaa...eheee ulikuwa unasemaje vileee🤓🤓Tayari [emoji16][emoji16][emoji16]
HahahahaEwaaaaa...eheee ulikuwa unasemaje vileee[emoji851][emoji851]
Sisi hiyo rafiki yangu kipenzi..yule hata kuchangiaga jukwaani hachangiiKwani ile avatar unayoipenda ya muigizaji ndio hy?
Ooh halafu nimegundua wasiochangia humu ndio wanabeba watoto wazuri,wanapendwaSisi hiyo rafiki yangu kipenzi..yule hata kuchangiaga jukwaani hachangii
Wee usiniambie kipenzi changu rafiki 😜😜Ooh halafu nimegundua wasiochangia humu ndio wanabeba watoto wazuri,wanapendwa
Sie wapiga kelele ,twala kwa macho