Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Pole mkuu🥹🥹🥹 Sijui nani alinipeaa sasaaa
Mwili wote unawasha siona hata pa kujikuna.. watu wenye imani wana nisalia, wenye roho nyepesi mmeisha ninunulia sanda 🥹🥹
Pole mkuu🥹🥹🥹 Sijui nani alinipeaa sasaaa
Mwili wote unawasha siona hata pa kujikuna.. watu wenye imani wana nisalia, wenye roho nyepesi mmeisha ninunulia sanda 🥹🥹
Miguu 5 + shingo 5😃😃😃 ewaaa kumbe unapajuaaa kabisaa hapo hapo wakuandalie miguu au shingo za kuku ngapi
Na kila mwathilika wanasema amefanya ngono na hii ndio sababu, wengi wamesahahu watu wanapata kupitia sindano na watoto wamepata kupitia baba na mama 🥹🥹🥹Pole mkuu
😀😀 eeh ndizi na pili utazikuta nimeisha bebaa , na utumbo kidogo pembeni waongezee eeehMiguu 5 + shingo 5
Na juice ya miwa bariiiiiidi ya kushushia nisije kukabwa😃
Nyimbo inasikitisha sana hiyo daahNa kila mwathilika wanasema amefanya ngono na hii ndio sababu, wengi wamesahahu watu wanapata kupitia sindano na watoto wamepata kupitia baba na mama 🥹🥹🥹
Poa AuntMambo
Boss vocha vipi maana sijawahi bahatika
Heee nilisahau utumbo😋😋😀😀 eeh ndizi na pili utazikuta nimeisha bebaa , na utumbo kidogo pembeni waongezee eeeh
Nipo hapa naisililiza plus chorous Q-Chief alifanya vizuri sana, nafikiri ni wimbo wangu wa leo siku nzima najifunza vitu vingii.. the issue kubwaaa hapa najifunzaaNyimbo inasikitisha sana hiyo daah
😀😀😀 eeeh ndio maana pazuri watu tunajaaaa asubuhi inakuta na supu ya utumbo wa kukuu na miguu yake yaani hiii .. jioni nakuwekea kabisa siti yako mapemaaa maana mie ndio naenda hapo sasa hivi nimeisha maliza kupiga debeHeee nilisahau utumbo😋😋
Ila Orchid wako vizuri, wanajitahidi kutupa vitu vitamu kwa bei chee watu wa uswazi😅
Kwa kweli ukiwa na ugonjwa huu ni mtihani wengi wana kufa kwa mawazoNa kila mwathilika wanasema amefanya ngono na hii ndio sababu, wengi wamesahahu watu wanapata kupitia sindano na watoto wamepata kupitia baba na mama 🥹🥹🥹
Huna jipyaWee ndo ukitulize unae washwaa washwa, hujistukii lol.
Msieeeeew,
Mnagombania nini nyie watu😬Huna jipya
Tulia kama unakatwa gogo
Pm zitafunguka na mbingu zitafogoka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅 na hii ndio njia sahihi sasa mwalobaini wa tatizo umepatikana
Upendo ndio kila kitu na tusipende kutamkia wenzetu wenye changamoto maneno mabaya hatujui yatawaathiri kiasi gani.Nipo hapa naisililiza plus chorous Q-Chief alifanya vizuri sana, nafikiri ni wimbo wangu wa leo siku nzima najifunza vitu vingii.. the issue kubwaaa hapa najifunzaa
Tunatakiwa kuishi kwa real love ( Agape kindo of love ) inaonesha dunia haina upando.. ukiachana na yoote wanasema Let love lead.. nimekumbuka kuna mtoto mmoja tulikuwa nae chuo alipo gundulika ameathirika alishuka sana ki performance sad story mbayaa🥹🥹
Ni mtihani kwasababu jamii bado ina angalia kwamba mtu kaupata kwasababu alikuwa mzinzi au muasherati, ingawa kwa asilimia kubwa maambukizi husambaa kwa njia hiyo. Ila pia jamii inakosa upendo na kufanya muhanga kuanza kuathirika kisaikolojia na kufanya umauti au afya yake inyong'onyee kwa haraka sanaaa. Tunahitaji Elimu, Tunahitaji upendo, Tunahitaji ukalimu tuna Muhitaji Mungu sana na zaidi, Tunahitaji hofu ya Mungu.Kwa kweli ukiwa na ugonjwa huu ni mtihani wengi wana kufa kwa mawazo
Huna jipya
Tulia kama unakatwa gogo




kunywa maji mengi na upumzike, yakizidi muone daktari. Hizo sio shida zangu, huko nilishavuka zamani sana.