Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baba mtumishi uko buzzy sana,. Sasa mie nabalance shobo dundo zangu, Kuambiwa naneng'eneka akuuuuuh.

Hope uko poaaa lakini. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Niko poa kipenzi , kitoto cha Mungu upendwaye .. Namshukuru Mungu tyuuu maana yu mwema kila wakati 😍😍😍 first year wanaingia lini kipenzi
 
Komaa ndio maisha😛
🥹🥹🥹 nikiendelea sikiliza huu wimbo nimerudi nyuma miaka mingi picha inakuja waathirika walivyokuwa wana nyanyapaliwa na kufanya hata wafe mapema kabla ya wakati wake. Mungu mwema sasa hivi unyanyaapaa umepungu sanaa, ila naona Nuzulati kanitengaa vibaya sijui anahisi hata nikichart nae namuambikizaaa 🥹🥹🥹
 
Back
Top Bottom