Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kula kunaenda na kunywa๐Ÿน

Kwani kuna kulala, sio tutageuza siku hiyo hiyo jion?
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… alfajiri ndio tunaheuza kwaiyo mlalo hata wa msaa kadhaa tuuu ... mojito ๐Ÿ“ ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ikipata mtaalamu ee
 
Hapana chezea ๐Ÿ“mojito, unaweza jikuta unataka ushibe tu hiyo yenyew๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜

Kama kuna mlalo basi haina haja ya kugeuza asubuh, ngoma itachomoka jioni.
Hamna haraka
 
Ni kuchekaaa tyuuuu makasiriko ya ninii kitoto cha Mungu, life lenyewe fyupiii [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie tenaaa kucheka na kufurahi ndo pakeee, staki stress na makasiriko mie, maisha enyewe ya mkopo haya why nijibane?

Weuweeeeeeeeeeeeeh!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Usijibane shouzyy maisha ndo hay haya
 
Back
Top Bottom