Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Pale ukiwa mteja wao wanakuwekea siti yako spesho ndio nachowapendea.😀😀😀 eeeh ndio maana pazuri watu tunajaaaa asubuhi inakuta na supu ya utumbo wa kukuu na miguu yake yaani hiii .. jioni nakuwekea kabisa siti yako mapemaaa maana mie ndio naenda hapo sasa hivi nimeisha maliza kupiga debe
Utakaa had saa ngapi?
Me jioni ndio nitakuja hapo kula chapati na maharage + ile chai yao wanawekaga viungo inanukia adi sio poa😋😋

