Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie muongo jaman? Coca c ni mtu wa watu eti?
JamiiForums39485580.jpg
 
Huwezi kula kitu mtoto mzuri, wewe hujawa pig 😅😅😅 naamini kuna vyakula nakula pia wewe hulii.. ugali na mlenda nachagua mlendaaa sio kwamba ugali sili ila haunivutii zaidi ya mlendaaa
Me nakula kila kitu kasoro mchanga 😂😂

Sasa ndio mlo wetu huku uswazi... yaan ugali hauepukiki si asubuh, mchana wala usiku😃
 
Hatutaji kuondoka kwetu wala kurudi kwetu 😅😅😅

Anza kufanya mazoezi ya meno sasa 😅😅😅
😂😂😂 basi nimefuta swali hilo, sikujua mwee

Kesho jion nina ratiba ya kwenda kula nyama choma
So natumai had urudi mazoez nitakua nishafanya ya kutosha, tukafanye yetu😋😋😋
 
Back
Top Bottom