๐
๐
๐
๐
yule mwanamke ana sauti, utapenda kuisikia ana maneno matamu ana care .. ningekaaga nae mwezi ningekuwa bonge.. shati huvui wewe, anakuvua, nywele ananichana yeye, ndevu napakwa mafuta sasa mie mapenzi ya hivyo sikuwa nimeyazoe nilikuwa naona kama uzushi ila nikawa mpole mkitoka mkirudi unabembelezwaa unapigwa massage unalala unachezewa kichwa au anasafisha masikio haya mambo kama una mke mzembe mzembe ndoa hapo ndio inapo pasuka bahati nzuri sikuwa na mke na sikuwa na mpenzi kama ningekuwa nae mapenzi yangekufa