Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza usisahau vocha hiyo baadae.
Mie tena Usiwaze!! Afu jana tu nimerushiwa mavocha meeeeeeengiii na mrashia!😳😳😳😳😳😳😳 Tatizo ni vodaaaa tu ingekua natumia halotel ningekupunguzia shos so mpaka nitoke porini huku ndio nikanunue!
 
Hurrrrrayyyyy kwa mr Vocha hurrrrrayyyyy!!🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Mungu ambariki na kumzidishia zaidi na zaidi kwakweli!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa ana tuokoa sanaaa.

Mr vocha hoyeeeeeh.
 
Hata mchana matapeli wapo chini hapo ya daraja..ukitoka stand ya daladala.

Wanadanganya watu mchana kweupe kwamba kama wanaenda stand ya magufuli basi wapite njia ya pembeni ni shortcut,wanaonyesha njia nyingine insenda kwenye kiporo fulani na si hapo darajani..huko wanaibia watu.

Huwa nawaza sijui ni watu wangapi wageni wameibiwa maskini.
Basi inabidi washughulikiwe
 
Mie tena Usiwaze!! Afu jana tu nimerushiwa mavocha meeeeeeengiii na mrashia![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Tatizo ni vodaaaa tu ingekua natumia halotel ningekupunguzia shos so mpaka nitoke porini huku ndio nikanunue!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leta hizo za vodaa. Line ipo.
 
Hurrrrrayyyyy kwa mr Vocha hurrrrrayyyyy!![emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Mungu ambariki na kumzidishia zaidi na zaidi kwakweli!!
Mnooooh abarikiwe huyu baba jaman. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Ayeyeeeee naanzaje sasa 😂😂
Tiktok shit
That’s my new sijui niiniiii
Kibwagizo freshiiii

Khaaa emu Lenie nisaidie 😂😂😂
Nimesikia tiktok na JetLee nika google anasema 😂

Drip drip drip
Drip drip (Fresh!)
Post that tiktok sh!t (Fresh!)
Thats my last year drip (Fresh!)
My new drip too lit (Fresh!)
Drip drip drip
Drip drip (Fresh!)
Post that tiktok sh!t (Fresh!)
Thats' my last year drip (Fresh!)
My new drip too lit (Fresh!)


Ile bando ya kuselfika nimetumia kutafuta lyrics.. 😂
 
Nanyie wanaume sasa Wanaume wa mizagamuano wamejaa tele ila waoaji sasa ndio wachache sanaaaa!!
Sema hayo mambo ni asili tu ya mtu tu baba pasta haijalishi ni mwalimu au nesi.... Kuna walimu manesi vichomi balaaa
Nakumbuka zamani za kale, nilikuwa naomba Mungu sitaki mwanamke mpole , nataka meanamke wa kumbadirisha tabia ( bangi hizi ) one day nikaingia casino moja nikavutiwa na mdada mmoja khaaa alikuwa kama kaumbwa nikasema laulaaa Mungu kajibia maombi kitu si ndio hiki.. ile ki gentleman nikamfata mtoto 😅😅😅 nikawa kauli mbili ya kwanza bei gani akageuka akakata jichooo kali hilo 😅😅 nikavunga kama hajanisikia nikamuambia nataka tu company 😅😅😅 au basi .. But wanawake wote wazuri na wanaume wote wazuri ila hadi upate wa aina yako hakuna mtu mmbaya ila kuna walio zidi excellence
 
[emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Jiandae kuwa na speed ya kuingiza vocha kwa haraka nimepanga kushea na selfika family vocha!! Ngoja tu nitulie !!
Saa ngapi??
Nisicheze mbali[emoji847][emoji847][emoji847]

Wale madogo nikiwatupia wanaingiza kama upepo [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom