Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Nimecheka sana, akili zetu wanaume huwa za ajabu sana unakumbula kale ka msari kama mfalme ... Wanawake wanabadirika ila unapo amua mabadiriko yake ukubali kutumia mda mwingi sana kuingia ndani yake na kumtoa alie anza kabla yako... nafsi huwa inauma ukikosa gori na hasa ziwe dk za majeruhi ... ingawa mie nilipambana nikabebeshwa mkoba sasa nikawa nikitembea nae ananiambia nifate nafata nikawa kama nimepigwa upofu alafu watu wanatuangalia kweli kweli nikasema nini hii, ila sikuwa kabisa na akili mbele ya yule dadaaa, baadae ananiambia anaenda kulala sasa shughuli pevu ndio ilikuwa hapo anza bebembeleza wee twendee , kakataa alafu yupo serious ananiambia kwani mie nauza huku nimebeba sana mkobaa fataa saka kama bodi gadi nikiwa na matumaini ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… tukawa tumesimama mahala hivi akaanza nihoji maswali sijui akili hapo zilikuwa wapi .. kipindi ananiuliza nika test mvuta kwa nyuma nika mkumbatia akachekaa akatulia nikaanza piga siasa huku nimekumbkatia akachomoka akasogea kama main entry fata pale kumbatiana live live sina aibu hapo sijui akili ilienda wapi ila kuondoka wote hataki.. nikakata kabisaa tamaaa nikamuambia poa mie naondoka akasema poa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… roho ikauma piga hatua mbili nikarudi .. nikaingia na gear ingine mie nasafiri naenda morogoro nikitoka morogoro naenda dodoma akawa hapajui kumbe mgeni, hapo ndio alifanya makosa kusema hapajui huko koteee nikaanza ingiza gear baada ya gear hadi mida ya saa 10 akasema twende alipofikia akachukue mizigo yake twende wote nikahisi utani, hao tukaondoka hadi hotelin kwake ila hatoi mzee, hapo tayari nimetoboa na ni nje ya utaratibu , tukaingia kwenye chuma sijalala hapo nilichofanya piga redbul za kutosha na maji mengi ili mkojo unisimbue ninapo kuwa naendesha nisilale, nilifanikiwa mkoani morogoro na mkoani dodoma na dar es salaam nawasiliana nae tu maana wengine hatujuagi kuachana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Unaweza kukamatwa hivihivi unajiona..
Ila uliupiga mwingi sana, hakuna kukata tamaa ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ , kujipa moyo utambadilisha kumbe na yeye anawaza kukubailisha.
 
[emoji172]
IMG_20220518_082109_273.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kukamatwa hivihivi unajiona..
Ila uliupiga mwingi sana, hakuna kukata tamaa ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ , kujipa moyo utambadilisha kumbe na yeye anawaza kukubailisha.
Acha kabisa na hasa kwenye ma casino au night club sijui huwa zina nini, ukinasa mahala unakuwa kama akili umezifungia sehemu.. utakuja kushtuka baada ya kuachana na mtu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….. ile ilikuwa machine mzee roho ingeniuma sana na sijui nini kiliniambia nirudi baada ya kukata tamaa, na hakuwa mdangaji maana route yote ile 50/50 hadi tuanaachana .. kama angekuwa nyonya damu ningeishaaa

Hapo wote mkiwa na akili ya kubadilishana ndio mtihani lazima mkwaluzanae sana , hadi mmoja akubali kuwa chini ya mwenzake ila mzee ulikuwa na utulivu unakula moshi ya wa bangii kwa uvumilivu mkubwaaa sanaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ila ndio ivyo
 
Kwahiyo wanaotangaza ni watoto?[emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
vitoto ndio vinatangaza tuone vime barehe ila sie watu wazima kimya kimya tunaacha huko huko kimya kimya .. hapa tunachekeana toka 2009 mie nawala humu sijala kuanzia mwaka jana tuu ndio nilivimbiwaaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwani wakitangaza shida Iko wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Shouzzzzzz akeee, jambo langu naliomba uniwekee kulee. Nikirudi baadae ni succed tyuuh.

Uwe na alasiri njema. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]

Coca wozi hia. Sii u leta.
 
Anaweka hapahapa
Ukichelewa umekwisha๐Ÿ˜ƒ
 
Unaweza kukamatwa hivihivi unajiona..
Ila uliupiga mwingi sana, hakuna kukata tamaa ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ , kujipa moyo utambadilisha kumbe na yeye anawaza kukubailisha.
alafu matoto ya Arusha mengi yapo hivyo, mie kuna moja nafikiri kama mwaka 2013 au 2012 nalo zurii balaaa mahala lina nipulizia moshi wa sigara mala linanipa nivute naliambie mie sivuti bwana , kila linachotumia linataka na mie nitumie nikawa nalikatalia ila zuri liliniendeshe ki Arachuga Arachuga linafanya linavyotaka yaani, badae nimeondoka nalo nimechoka kweli ila kumbe chumbani pole oga kama kunguru wa baraaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….. ila hivi karibuni nilikutana nalo maskini limeungua kidogo chozi la huruma linimwagike dah limeisha haya magonjwa acha tu
 
Acha kabisa na hasa kwenye ma casino au night club sijui huwa zina nini, ukinasa mahala unakuwa kama akili umezifungia sehemu.. utakuja kushtuka baada ya kuachana na mtu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….. ile ilikuwa machine mzee roho ingeniuma sana na sijui nini kiliniambia nirudi baada ya kukata tamaa, na hakuwa mdangaji maana route yote ile 50/50 hadi tuanaachana .. kama angekuwa nyonya damu ningeishaaa

Hapo wote mkiwa na akili ya kubadilishana ndio mtihani lazima mkwaluzanae sana , hadi mmoja akubali kuwa chini ya mwenzake ila mzee ulikuwa na utulivu unakula moshi ya wa bangii kwa uvumilivu mkubwaaa sanaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ila ndio ivyo
We jamaa ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Ulitisha sana, kwa hio ushapiga au?
 
alafu matoto ya Arusha mengi yapo hivyo, mie kuna moja nafikiri kama mwaka 2013 au 2012 nalo zurii balaaa mahala lina nipulizia moshi wa sigara mala linanipa nivute naliambie mie sivuti bwana , kila linachotumia linataka na mie nitumie nikawa nalikatalia ila zuri liliniendeshe ki Arachuga Arachuga linafanya linavyotaka yaani, badae nimeondoka nalo nimechoka kweli ila kumbe chumbani pole oga kama kunguru wa baraaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….. ila hivi karibuni nilikutana nalo maskini limeungua kidogo chozi la huruma linimwagike dah limeisha haya magonjwa acha tu
Asee, basi itakua wapo hivyo.
Nimesikitika ameungua, pole yake sana.
 
Back
Top Bottom