Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kazi ya blaza amepachika kajuniaEwaaaaa!! umeanza kunenepa naona trakooo limetokeza haswaa![]()
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kazi ya blaza amepachika kajuniaEwaaaaa!! umeanza kunenepa naona trakooo limetokeza haswaa![]()
Afu kumbe loc ni ushuwani ogijoo kabisa 😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Marahaba mdogo angu😂
Af hyo avatar yako sijaweza kuizoea unajua.Ndiwooooo
Shikamoo 😂😂😂😂
Rudi kwa miguu ufanye mazoezi.Umeshanichanganya akili yangu sijui nitarud vp leo home
🤣🤣🤣 nani huyo kakupa desa, asije akawa ananichora tu hapa.Afu kumbe loc ni ushuwani ogijoo kabisa 😂😂😂
Waaaah mepewa desa.
Me mwenyewe kuna muda najisahau 😂😂 ila ni heri ushtuke kuliko mie nilivyobadilishwa jinsia huko mtaa wa 7.Af hyo avatar yako sijaweza kuizoea unajua.
Nikiona notification inanishtua😂 em badilisha bana
Ye mwenyewe kabaki anauliza ‘why u asked..🤣🤣🤣 nani huyo kakupa desa, asije akawa ananichora tu hapa.
Embu nibariki na mimi binti yanguBrazaaaa kula hiyo hapo… Hahaaa
Shikamoo ankoo… iko hapo chini kidogoEmbu nibariki na mimi binti yangu
Na inatutesa si kidogo ujue, tuhurumie wenzako🤣🤣Me mwenyewe kuna muda najisahau 😂😂 ila ni heri ushtuke kuliko mie nilivyobadilishwa jinsia huko mtaa wa 7.
Sasa wakati nasubiri new avatar from abroad, wacha hii iendelee kuwatesa.
Yaani binti yangu una sura ya kitoto hadi raha na hilo dimpo hapo kwenye masseter muscles, babu yako sina neno tena☺
Anhaaa, kumbe ndiyo maaana........ 😂Brazaaaa kula hiyo hapo… Hahaaa
My wangu we ni biurifooooooo😍😘😘😘
Na hamtapumzika mpaka mkome 😂😂Na inatutesa si kidogo ujue, tuhurumie wenzako🤣🤣
Bora tu hiyo new avatar ije fasta tupumzike
Ndio maana nini braza 😂😂🙈Anhaaa, kumbe ndiyo maaana........ 😂
Takupeleka bestie, hilo usiofuYe mwenyewe kabaki anauliza ‘why u asked..
😂😂😂
Nikija munipeleke bana woii