Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie ndio huwa mnapotoshana kweli kweli.
Utasikia achana naye huyo ..shogangu we mrembo utapata bwana mwingine...wapi?

Mabwana ni wengi kweli lkn mume ni mmoja
Hahahha noma sana
Mashoga sijui huwa wanaona wivu maana sio kwa upambe huo.

Huwa naonaga issue za mahusiano ni bora zikae private kwanza hadi mfikie kwenye stage ya ndoa
Hapa unaepuka mengi .
 
Aaamen
IMG-20220518-WA0020.jpg
 
Ndivyo ilivyo.
Hivi utamwachaje mwanamke humble?
Mcheshi?
Mwelewa?
Warembo wengi wakiona wanspendwa ..huanza kubwetrka..hawana lugha laini ya kimahaba tena.
Jeuri inasnza.
Ujue mwanamme pamoja na maguvu yake ni mwoga mno kuwa na mahusiano na mke jeuri..
Unajua kwanini William kakimbia?😅😅😅
Nameza madini mkuuu!! Tupeee tupeee tena na tenaaaa!!✌️✌️✌️
 
Back
Top Bottom