Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah! He became a celebrity mpaka akatengenezewa na movie. Na episode yake ya Air Disasters yeye na abiria wanavyoelezea jinsi msala mzima ulivyokuwa inavutia sana.

Nyie marubani aisee mna moyo mgumu sana. Huwa sina amani kabisa kwenye ndege yaani na huwa sitaki hata kuwe na turbulence ya aina yo yote....
View attachment 2228689
Pilots are trained to not panic halafu they are paid to do it.

Jamaa ana deserve alifanya kitu kikubwa.

Halafu risk ya ajali kwenye gari ni kubwa zaidi kuliko ndege, ndege probability ni 1/9800 gari ni 1/100, ilipaswa uogope zaidi gari 😆
 
Back
Top Bottom