Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mabwana wapo kibao ila wanaume tuna hesabika.. Kumjua bwana ni rahisi tu na kumjua mwanaume kipengelee na hapa ndio kunakuwa na wa hanga wengi... Alafu wanawake vidomo domo siku hizi wamezidi mwanke kutoka na mwanaume wa mwenzake anaona ufahari au kupindua meza anaona ufahari .. kuna vurugu mingi sana, ndio maana wanawake Walimu , Manesi ( wanao toa sana huduma kwenye jamii ) wana nafuu ila wengine hawaa Mungu saidia, ila sijui naandika nini hapa kweli leo kichwa ya moto
Kupindua meza
Imekaaje hii Heaven Sent ?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom