Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

ndo kusemaje eti?
Nilikua namaanisha hii ni Airbus A340, nilikuwa najiuliza kwa nini wanaitumia kwani ulaji wake wa mafuta sio poa.

Hizi ndege production mwisho ilikuwa 2011, boeing 777 twin engine iliua soko la hizi ndege, ina engines nne, hizi ndizo ndege zilizosifika kwa masafa marefu kuvuka bahari kabla twin engine zilikuwa haziaminiki kuwa na huo uwezo tokana na engine mbili, siku hizi twin engine zinapiga safari ndefu na hakuna shida, siku hizi twin engine zinapiga routes ambazo hapo mwanzo ni ndege tu zenye engines 4 zilikuwa zinaweza kupita kama hii A340.

Mambo yanabadilika leo hii ndege kama 787 kama hii ya kwetu ina engine mbili tu very powerful na reliable na inakwenda long flights over the ocean.

Naamini hii kampuni itakuwa inatumia hizi ndege kwa safari za ndani tu, ku run hii ndege kwanza mafuta yake inakunywa ni hatari sana ni expensive ku run hii kitu, halafu ni less reliable.

Kingine nyuma huko nilipanda hii ndege nikielekea Istanbul, hio siku sitosahau ilikuwa usiku 😂 😂 .
 
bia
20220516_140607.jpg
 
Back
Top Bottom