Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Familia zetu hisi za kiswahili Zina maneno maneno sana. Siku ukishindwa kuwasongea kijiugali cha watu wa tano utasikia Kaka yetu kapigwa hapa, hakuna mke kabisa. Kwaiyo Ni muhimu kuzingatia
Ooh upo sahihi kabisa
Maneno hayaishi kwa familia zetu .. ah muhimu tuanze kujifunza tu mambo mengine .
 
Ah tuanze practice
Nimezoea ugali wa watu wachache pia ...

Hilo muhimu kusaidiana wawili la sivyo ugali unaweza toka na mbichi Kiana .
Ugali najua kupika
Tena hasa kwenye jiko la kuni,,ndiyo maisha niliyokulia hadi sasa.

Ila hilo sufuria siwezi kupika aisee..
Kama uwaifu matirio inapimwa Kwa kusonga sufuria lote hilo mtu mmoja aisee mimi ningefeli.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Familia zetu hisi za kiswahili Zina maneno maneno sana. Siku ukishindwa kuwasongea kijiugali cha watu wa tano utasikia Kaka yetu kapigwa hapa, hakuna mke kabisa. Kwaiyo Ni muhimu kuzingatia
Wanawakuta hapo wanawake wenyewe, km mie huyo mama mkwe na mawifi wajiandae, maana ufukunyuku,gubu, visa na vituko hapa ndo pake.

Full kuzabananga woiiiih.
 
Ugali najua kupika
Tena hasa kwenye jiko la kuni,,ndiyo maisha niliyokulia hadi sasa.

Ila hilo sufuria siwezi kupika aisee..
Kama uwaifu matirio inapimwa Kwa kusonga sufuria lote hilo mtu mmoja aisee mimi ningefeli.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Ah wanawasumbua wadada wa watu .
Ooh yeah kama hujazoea sufuria kubwa hapo ni shida .

Mambo yao tuwaachie wenyewe
 
Back
Top Bottom