Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Yani siku ya Kwanza tu nikuambie mi nyumbani migo migo kwa binyau.
Yani kwenye ubongo wako tiyari ku ta clik huyu Ni mswahili, pia Ni unga unga mwana.
Hahaha
Ndio bora mtu akupende kwa hali uliyonayo and not otherwise
Sema atakukamata wakati wa kumpa fair au akiomba cash .



