Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,193
- 183,014
Hivi ushawahi kuselfika mkuu??? !!leo Tupiapo basiPicha basi black beauty
Hivi ushawahi kuselfika mkuu??? !!leo Tupiapo basiPicha basi black beauty
[emoji23][emoji23] umeanzaSawa sawa ila huko PM [emoji1787]usiende sio kuzuri sana, mtapendana mtagombana mtarudi kutuomba ushauri hapa [emoji23]
Eti eee kumbe uliwahi kwenda? Nami nitajaribu niona kama kuna ukweli hahaSawa sawa ila huko PM [emoji1787]usiende sio kuzuri sana, mtapendana mtagombana mtarudi kutuomba ushauri hapa [emoji23]
Wanaovaa hivyo
Msihangaike nimefunga huko. Mabalaa ni mengi yananizid uwezo.Eti eee kumbe uliwahi kwenda? Nami nitajaribu niona kama kuna ukweli haha
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Friji lako haligandishi!!!!Wanaovaa hivyo
Kumbe ni madaktari[emoji848]
Nilidhani wafunga vidonda
Wanisamehe tu
Koti jeupe na kale kadude ka shingoni
Wanakopimia
Hao tu nilijua ndio wenyewe MDs
Nilishaenda mkuu yamenikuta mimi sitaki tena mtoto mmoja hivi hatari sana nilimpenda akaniharibu akili mpaka leo najua anasoma hii coment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti eee kumbe uliwahi kwenda? Nami nitajaribu niona kama kuna ukweli haha
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
[emoji2089][emoji2089]Friji lako haligandishi!!!!
Em u Fanya ubadili nunua la Boss lipo njema zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuzuri huko.Nilishaenda mkuu yamenikuta mimi sitaki tena mtoto mmoja hivi hatari sana nilimpenda akaniharibu akili mpaka leo najua anasoma hii coment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pisi za chuo hamzitaki tena mnataka watoto, miaka 30 bahaind bars aisee!!![emoji849]View attachment 2223497
Upo sahihi mkuu waosha vidonda haoWanaovaa hivyo
Kumbe ni madaktari[emoji848]
Nilidhani wafunga vidonda
Wanisamehe tu
Koti jeupe na kale kadude ka shingoni
Wanakopimia
Hao tu nilijua ndio wenyewe MDs