Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah
Nimechanganya,[emoji1787]
Nilitaka kusema umeweka mabawa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ila hilo gauni zuri na kapose ulikoweka aisee mpiga picha alikupatia.
Ndiyo picha yangu Bora ya muda wote..nimeitunza hadi Leo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
UKO VIZURI 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Mpiga picha nae analipenda sana. Inabidi siku moja tukutane wote kulijadili 🤣🤣
 
Hizi gari kwenye engine oil maintenance inapaswa umakini, weka oil quality na kiasi kinachopaswa na kwa wakati, kukaa muda mrefu ni shida sana, mfano RR sport V8 inakufa turbo mapema kama unafanya wrong engine oil maintenence, sasa cost yake kutengeneza ndio utapenda, kwa maana turbo ya RR unatoa body yote(kwa experience niliyonayo na model nilitumia), thats why wanapiga kelele sio reliable.

Ni gari zuri sana mkuu kikubwa utunzaji.
😅😅😅 Unanunua gari zaidi ya 400 millions, alafu ufanye service za magumashi dishi litakuwa limeyumba, nawajua watu kadhaa wana hizo V8 namba A kama mpyaa na mwingine ndio anaendaga nalo kabisa site na juzi juzi amechukua SVR .. issue ya watu kulia lia wanachukua hizi gari mikononi na hujui mtumiaji wa awali alikuwa na matumizi gani, pia hata wanapochukua hizi gari kama used wanashindwa kuchukua zile za mnada wa wa 5 na 4.5 point wanachukua zile cheap sana hapo ndio baraa linaanza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu ile homuweki hukumaliza mjomba.
Ile ya kutawanya.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpwa niache kwanza, baada ya mpira nitakupa maana, hasa kama tutashinda. Tukifungwa sitaki hata salam yako.
 
UKO VIZURI [emoji1487][emoji1487][emoji1487]

Mpiga picha nae analipenda sana. Inabidi siku moja tukutane wote kulijadili [emoji1787][emoji1787]
Hili gauni aliyetengeneza ana nafasi yake special Mbinguni[emoji23]

Mpiga picha ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Gauni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]


Sema kwenye hii picha yangu nilikuwa sijagundua mabawa.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Baba Mchungaji pulizi niwache!

Nina majirani hapa sijui wanataka kunitoa roho hata sielewi. Alianza huyu wa mkono wa kushoto akavuta jipyaaa jeusi. Wa kulia naye naona kaamua kujibu mapigo kavuta jipyaa jekundu...Yaani mpaka FJ Cruiser yangu naiona kama mkokoteni yaani. Ila Mungu Yupo. Nahitaji sana sala zako Baba Mchungaji ili mibaraka zaidi na zaidi inishukie na mie ili hatimaye niepukane na manyanyaso ya hawa majirani wasio na huruma [emoji1545][emoji16]
View attachment 2227244
Naona FJ hapo imetulia, mwenzake huyo ni nanii 😅😅😅 acha tuendelee kupiga goti malaika wa pesa wazidi kutuinganisha na watu wenye pesa zetu
 
Naona FJ hapo imetulia, mwenzake huyo ni nanii [emoji28][emoji28][emoji28] acha tuendelee kupiga goti malaika wa pesa wazidi kutuinganisha na watu wenye pesa zetu
Mwenzake huyu Infiniti...

Yeah! Mibaraka na iendelee....

Fortnox wapi? I hope hajambo huko aliko. Ngoma zake zote mbili nazikubali kinyama yaani...
 
Ooh zinaweza zisiwe kubwa zikawa medium size
Ona kama hii nilisukaga muda fulani ..unakuwa zako mwepesi tu
View attachment 2227252
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Ulipendeza

Mimi naona kama mzigo...
Ngoja nijarubu makubwa zaidi..hizo bado naona ndogo..nitachoka mapema maana najisuka.
 
😅😅😅 Unanunua gari zaidi ya 400 millions, alafu ufanye service za magumashi dishi litakuwa limeyumba, nawajua watu kadhaa wana hizo V8 namba A kama mpyaa na mwingine ndio anaendaga nalo kabisa site na juzi juzi amechukua SVR .. issue ya watu kulia lia wanachukua hizi gari mikononi na hujui mtumiaji wa awali alikuwa na matumizi gani, pia hata wanapochukua hizi gari kama used wanashindwa kuchukua zile za mnada wa wa 5 na 4.5 point wanachukua zile cheap sana hapo ndio baraa linaanza
Na hapo likihaibika anatoka anatangaza RR ni gari mbovu sana, wanatukosea sana.
 
Back
Top Bottom