Tunakupenda pia babe




Mungu amsaidie huyu mama jamani awapate ndugu zake
Abeeeh
Dah wewe mimi kabisa mpaka nimeamua kukuomba juwa kweli yamenifika yaani yamenifika tena kama nimekutext na text nafuta na simu naitupilia mbali ukoMimi hata vizinga siwezagi kupiga!!
Naweza ishiwa naanza kulia mimi, naogopa kuomba!!
Umeanza lini ukorofiHuna uwezo wa kunitumia hiyo pesa
Khaaaaa
Kama ulitumiwa fanya kunipunguzia kidogo na mimiMkuu namba yangu ni 0754771937 jina litakalokuja ndiyo hilo hilo naomba niipokee hiyo hela kwa niaba yake nitamfikishia
Tuhurumie Hornet , hilo dude tunaonekana bamia haswaaa!Aende zake..akikosekana yeye kuna zana za kazi hapaView attachment 1251351
Mhh mnasemaga hivyo hivyo, lakini..Dah wewe mimi kabisa mpaka nimeamua kukuomba juwa kweli yamenifika yaani yamenifika tena kama nimekutext na text nafuta na simu naitupilia mbali uko
Leo weekend vibe wapi?Poa kabisaa
Kule piemun kule.Wapi huko??
@Hazard CFC ndugu yako huyu.



nitumiwe wapi ndugu yangu nimechomeshwa mahindi kwa wakala pale nasubiri muamala holaaa
Kama ulitumiwa fanya kunipunguzia kidogo na mimi
Kule piemun kule.
Amini unavyoamini mkuuMhh mnasemaga hivyo hivyo, lakini..