Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wacha wee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unajisahaulisha ilikuwaje eenh??

Ilikuwa kwenye uzi fulani hivi kuhusu wanawake na ndoa wewe ukasema "imeandikwa mwanamke mpumbavu atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, na mimi naongezea mwanamke mpumbavu atavunja ndoa yake kwa mdomo wake mwenyewe"

Mimi nikakuuliza "kivipi umemaanisha nini"

Ukanijibu "umeelewa sana ila unataka ligi tu, kuna mdomo na MDOMO"

Basi mie nikajua ulimind na nilidhani labda utakuwa off mood maana mimi katika maisha yangu sikumbuki mara ya mwisho kuwa off mood ni lini!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]but it was nothing personal you know
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala sikumind!

Nilishangaa tuu nilijibiwa kwa gazeti, halafu nikajibu sawa mkuu!
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]alikataa friendly match?? Huyo mwanaume inabidi awekwe kwenye kitabu cha guiness cha rekodi za dunia,, mwanaume wa kwanza kuwahi kutongozwa na mwanamke na akakataa..[emoji2088][emoji2088]

Wenyewe wana kamsemo kao
Eti mwanamke anaejirahisisha kwa mwanaume ni Malaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]
 
IMG_20191101_212508_6.jpg
 
Back
Top Bottom