Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu nakujibu kiurahisi kabisa

Darasa la saba nilimaliza kitambo

1. Nina Bachelor degreee moja
2. Master degree 1
3. Niliamua kusoma Phd, udsm 2015, nikaamua kuacha katikati
4. Nina postgraduate diploma in taxation 2018

Kisha

1. Nimejiajiri
2. Nimeoa
3. Nina watoto
4. Nimeajiri
5. My life is good actually mtu akisema vyuna vimekaza namuona anazingua

Na pia...

sina marafiki wengi ila ni kijana mla bata sana, mtu wa watu na sina tatizo na mtu.

Nimejikuta napenda sana kujiachia JF sababu ni sehemu ambayo nnachati na marafiki pamoja na maroboti kama wewe ambao mnakaa na kuanza kuumia moyo namna mtu anavyoishi...

Mwisho...

Nitumie namba yako niku bless hata 50k jioni yako iende vizuri fool
Mkuu mbona umepaniki?mbona una hasira sana
 
Huna uwezo wa kunitumia hiyo pesa
 
Back
Top Bottom