Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Karibu na ulipo kaa banaNitakuloga wewe uko wap kwanza
Karibu na ulipo kaa banaNitakuloga wewe uko wap kwanza
Aisee..naona tunapangana tu[emoji1787]
Kwamba ?Tena wewe ndio kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ningemuona cheap kwa kweli, yaani akubali siku hiyo hiyo jamani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa pm si umefunga??
Hivi kumbe bado unakumbuka ile siku uliyonimaindi enh??
Mie hata sikuuliza kwa ubaya ila ulishindwa kunielewa tu but sikuchukia ndiyo maana niliendelea kukutania[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Naelewa mitazamo yao dear ila kila mtu ako na misimamo yake mamii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yeah ni kweli kiuhalisia iwe mwanamke au mwanaume akitongozwa hapo hapo akakubali anakuwa cheap ila si unajua tena mitazamo ya jamii yetu hii mwee
Nitakujibu kule.
Hapa sitaki kuongea kabisa.
Karibu sana jamani!!Daah basi inshaallah Mungu akiendelea kutujalia uzima ipo siku nitafika Muheza na ningependa uwe mwenyeji wangu,, na vyenye napenda kuzurura sasa..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafikiri ni mimi basiiii?!??!?!?
Mwambie afafanue hapo aliposema ana marafiki wachache wakati huo huo yeye ni mtu wa watuMkuu mbona umepaniki?mbona una hasira sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mtu ulimpa simu eti??
Mbona umeniweka wa kwanza?!
Sema Kuna watu nawapiga chenga yaani..naogopa kuchanganya mafile hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vipi na wewe umeshalikoroga kule siasani nini?
Njoo pm nikwambie. Hapa siwezi kusema.Aiseee,, maana yake ni nini eti??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yeah ni kweli kiuhalisia iwe mwanamke au mwanaume akitongozwa hapo hapo akakubali anakuwa cheap ila si unajua tena mitazamo ya jamii yetu hii mwee
Mimi hata vizinga siwezagi kupiga!!
Naweza ishiwa naanza kulia mimi, naogopa kuomba!!
Kwamba ?
Acha kudeka mkuuMbona umeniweka wa kwanza?!
Mie kwetu wa mwisho jamani!