Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wacha weeunajisahaulisha ilikuwaje eenh??

Ilikuwa kwenye uzi fulani hivi kuhusu wanawake na ndoa wewe ukasema "imeandikwa mwanamke mpumbavu atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, na mimi naongezea mwanamke mpumbavu atavunja ndoa yake kwa mdomo wake mwenyewe"

Mimi nikakuuliza "kivipi umemaanisha nini"

Ukanijibu "umeelewa sana ila unataka ligi tu, kuna mdomo na MDOMO"

Basi mie nikajua ulimind na nilidhani labda utakuwa off mood maana mimi katika maisha yangu sikumbuki mara ya mwisho kuwa off mood ni lini!!but it was nothing personal you know

Wala sijawahi kuwa off mood, ndo maana hata sikumbuki!

Ila nilivyoona uzi wote umejaa magazeti, nikasema huyu anataka na mimi niandike na ndio siwezagi jamani!!!
 
Neno la faraja Jumamosi hii... Kwa wana mada hii na JF kwa ujumla


Be prepared to be tested with fear, failure, loss, health, wealth. You can bear it with good patience or get upset & miserable. What should keep you going is the thought that nothing lasts. The Almighty has a beautiful Paradise waiting for you. Don’t forsake that!

When you have doubts, questions, don’t get down on yourself. God’s not disappointed in you. You don’t have to have everything figured out. When you’re honest with God about your doubts, your shortcomings, your fears, that’s not weakness; that’s strength.
Aimennnn
 
Back
Top Bottom