Selfika na JF: Snap it. Show it

Ooh kumbe?? Basi Mungu akipenda nitajuana na baadhi ya watu humu JF ofcourse kuna watu wengi tu ningependa kujuana nao humu ila aibu zangu tu ndiyo zinanikwamisha!!
Naam...

Siku hizi ndio maana waona jamaa wa zamani hawapo sana huku...

Sisi wengine wabishi tu ndio maana bado tupo tupo...

Ila nyuma ya pazia huku, tunakutana like friends and not JF members (yaani kujuana hadi real names etc)
 
Mbona fool tena😂😂
Hadi nimepata kicheko
 
Mimi kwa ndugu siwezi kukaa..Maana mwisho wa siku wataona kama wananinyanyasa.
Huwa siendi kwa ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…