Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ndio
Bi mlimbwende
Mwenye dental fomula nzuri
Na shingo ya upanga
Ukiwa na lips tam
Eeh Asante sio kwa kunijaza huko
Japo hizi picha tu live watu tupo na sura halisi za baba .
Ndio
Bi mlimbwende
Mwenye dental fomula nzuri
Na shingo ya upanga
Ukiwa na lips tam
Huku tunafaidi sanaHuko mnafaidi vyakula vizuri
Huwa navipenda sana
Vipo huko ?Kigamboni pia
Kule geza ulole
SheendwaaEeh Asante sio kwa kunijaza huko
Japo hizi picha tu live watu tupo na sura halisi za baba .

Ndio wanavyokulaVipo huko ?




Ooh mnafaidi haswaHuku tunafaidi sana
Napenda sana ndizi mbivu,,lakini nikiwa dar siwezi nunua labda ninunuliwe
Dar ndizi moja 300 aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule vilumbu wanaita Mfuma halafu mwanzo ndio nilikua naweza kula ndizi za fia tu ndio zinaelekeana na za mikoa mingine walau zile laini zilinishinda Ila badae nikazizoea!Kule ndio kwenyewe
Na fia za kumwaga![]()
Ndio wanavyokula
Kwenye maofisi ya Dar
Siku hizi
Wanaume wa Dar ni shida
Navyo vinatiwa mayonaiz![]()

Msimu wa mavuno raha sana,vyakula vinakuwa teleOoh mnafaidi haswa
Huku dar bora uende sokoni tu otherwise shida tupu ... Tunanunua kiubishi tu
nilizoea maisha ya Morogoro hapo msimu wa mavuno vitu bei cheee ndizi twike mkungu unaweza pata hata 500 ,nyanya sado unapata buku , parachichi 100 ... Nimiemiss maisha haya mno .
Ooh yeah
Ameeeeeen!!!Ooh yesssMungu akutunze kitoto cha Mungu , Mungu akuhudumie kitoto cha Mungu , Mungu akupe cheko na furaha kitoto chake adui zako waone ukifurahi na kusonga mbele , siku zote huzuni kwako na ikawe furahaaaa
![]()




Kibongo bongo hizi ndio travolta...
Uwakute wenyewe na suruali modo kishati kinambana mpaka hawezi kupumua halafu anadunda wee![]()



shangazi wwe..nitafutie hela sasa ili siku nikiingia pm za watoto wakali km huyu niingie Kwa confidence
![]()




