Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Nazionaga sana wanaume wa dar na ma banker sana sanaaa na wasukumaaa wanapenda hivi na ma rais na watu wazito wenye pesa zaoo [emoji28][emoji28]
[emoji2][emoji2]
Nazionaga sana wanaume wa dar na ma banker sana sanaaa na wasukumaaa wanapenda hivi na ma rais na watu wazito wenye pesa zaoo [emoji28][emoji28]
Kama huna pesa ukivaa hizo unakuwa kama comedian tu 😅😅😅[emoji2][emoji2]
Imeisha hiyo
[emoji28][emoji28][emoji28] ujijue dili .. usije tekwa nyaraaa
Za kuambiwa
Changanya na za kwako
Kama huna pesa ukivaa hizo unakuwa kama comedian tu [emoji28][emoji28][emoji28]
😅😅😅Halafu huwaga wanachomekea suruali kwenye kiatu..
Kazi hatarishi Kama yangu..kuna muda panya akijipendekeza namfinya na buti km amekanyagwa na semi trailer 😅Vizuri sana kwa usalama hasa kwa maeneo ya kazi zenye mazingira hatarishi
[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2221748
Leo Wigelekelo live no emoj wala nini shangazi !Nimepitwa jamanii
Ana tabia mbaya anasubiri hatupo ndio anatupia[emoji30][emoji30]
Midomo nywele mule mule 🔥🔥🔥🔥🔥 hizo ndio lips eeh 😋😋😋
Nkamu utakosa pumzi na hilo ua
Sijavaa hivi na kutokea public 😅😅😅Ila hiki kizuri sana...
Kaniona ujue [emoji23]Hili limezidi mjomba hawezi kukuona vizuri ana matatizo ya macho hebu punguza kidogo[emoji2][emoji2]
Kazi hatarishi Kama yangu..kuna muda panya akijipendekeza namfinya na buti km amekanyagwa na semi trailer [emoji28]
[emoji3059][emoji3059][emoji39]..nitafutie hela sasa ili siku nikiingia pm za watoto wakali km huyu niingie Kwa confidence [emoji41]
Nkamuuuuu [emoji23][emoji23] nitalitoa.Nkamu utakosa pumzi na hilo ua
Mambo flani hivi jirani kesho nakuleteer hii 😅😅😅 ila itakutosha au basiNkamu utakosa pumzi na hilo ua