Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Moyo hautaki kusikia hiyo habari..ngoja niupeleleze,kisha nitakupa jibuKwanini 😃
Sijawahi kuchomekea its almost 5 years now na sijawah kuacha kukunja mashati mikonoKukunjwa muhimuuuuuuuuuuu
Ooh yesss 😅😅 Mungu akutunze kitoto cha Mungu , Mungu akuhudumie kitoto cha Mungu , Mungu akupe cheko na furaha kitoto chake adui zako waone ukifurahi na kusonga mbele , siku zote huzuni kwako na ikawe furahaaaa 🔥🔥🔥🔥Ouyeaaaah Ameeeeeen!!!!
Nkamu since ni high top, basi itabidi tu zifit in, ama ndiyo safety boots?
Huku kwetu Travolta ni designs hizi
View attachment 2221735
View attachment 2221736


Kwa kweli naona shati likikunjwa linaongeza mvutoSijawahi kuchomekea its almost 5 years now na sijawah kuacha kukunja mashati mikono
Hahahahaa waache maboss wetu bana. Nimewaza huko kudunda daahKibongo bongo hizi ndio travolta...
Uwakute wenyewe na suruali modo kishati kinambana mpaka hawezi kupumua halafu anadunda wee![]()
Exactly..wazee wa doc yard Hilo buti linavuliwa jumapili Tu,na kabla halijavuliwa unatangaza Hali ya dharura(hatari) walio karibu wazibe pua😅😅Safety boots 😅😅
AbsolutelyKwa kweli naona shati likikunjwa linaongeza mvuto
Nazionaga sana wanaume wa dar na ma banker sana sanaaa na wasukumaaa wanapenda hivi na ma rais na watu wazito wenye pesa zaoo 😅😅Kibongo bongo hizi ndio travolta...
Uwakute wenyewe na suruali modo kishati kinambana mpaka hawezi kupumua halafu anadunda wee![]()
Vizuri sana kwa usalama hasa kwa maeneo ya kazi zenye mazingira hatarishiExactly..wazee wa doc yard Hilo buti linavuliwa jumapili Tu,na kabla halijavuliwa unatangaza Hali ya dharura(hatari) walio karibu wazibe pua😅😅


Imeisha hiyoAii wewe irudie basi picha![]()
Piga chini fastaa.
Liambie nimekupa rukhsa.
Pole shangazi![]()


😅😅😅 ujijue dili .. usije tekwa nyaraaaNazurura tu huko ulimwenguni![]()
SawiaExactly..wazee wa doc yard Hilo buti linavuliwa jumapili Tu,na kabla halijavuliwa unatangaza Hali ya dharura(hatari) walio karibu wazibe pua![]()