Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,192
- 183,004
Kweli siamini kama ulikuepo!! Wewe Sio wa kukaa kimya Anne!!Nimeona na ya walebanon wawili wakiwa wamevaa cadet🏃🏾♀️
Siaminiki😂.
Kweli siamini kama ulikuepo!! Wewe Sio wa kukaa kimya Anne!!Nimeona na ya walebanon wawili wakiwa wamevaa cadet🏃🏾♀️
Siaminiki😂.
NimeandikaHivyohivyo[emoji2]
Asante,
Acha tu[emoji23]Kweli siamini kama ulikuepo!! Wewe Sio wa kukaa kimya Anne!!
Nadhani nina karibu kila picha ambayo umeshawahi kurusha hapa. Kama huna mpya basi hata bashasha ya kusubiria hakuna. Sad! [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hahahaaaa... mida mida msukuma!! Ila sina hata mpya eti!
Kwani Buti si ni buti tu?Nimeandika
Nikafuta
Nikaandika
Tena nikafuta
Ni vile tu ka last born ketu
Nitafanya nini sasa[emoji1787]
Kabisa msukuma hamna jipya!Nadhani nina karibu kila picha ambayo umeshawahi kurusha hapa. Kama huna mpya basi hata bashasha ya kusubiria hakuna. Sad! [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Buti kama la Mjep 😜Kwani Buti si ni buti tu?
Ukinizingua nakugonga na butiView attachment 2222041
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kausha
Saresare maua na Mjep Mr vochaButi kama la Mjep [emoji12]
SimiyuOoh vyema .. viazi vitamu msimu wake ni lini ?
Napenda sehemu ya hivyo
Nitakupitishia
Ooh kumbeSimiyu
Sasa
Ndio msimu wa manumbu[emoji1787]
[emoji23] haya ahsante.Nitakupitishia
Si ni hapo
Uyole[emoji848][emoji2089]
kwetu tunaita vilumbu!!🤔Simiyu
Sasa
Ndio msimu wa manumbu[emoji1787]
Viazi vitamu vipo vingi,vilishaanza tokea mwezi wa nne vinadumu hadi mwezi wa 12Ooh vyema .. viazi vitamu msimu wake ni lini ?
Napenda sehemu ya hivyo
UmeshashindikanaNa ile ya shepu la kuvunja kitannda ile ya suruali
Kile kindoo kidogo, sikinai kabisa ila tu nisiwe nimekula chakula kingne zinaisha yaani.Ndoo?
Haukinai?