cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Naomba mlongo jaman, uwiiiiih, [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Naomba mlongo jaman, uwiiiiih, [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Umeirusha wewe[emoji41]Airbus 380 imerushwa kwa kutumia mafuta ya kupikia.
![]()
Vipi dada kwani umenipenda? Nipandishe ili uone nini🤣?Hapa sasa, unyama mwigi mnooo,. Hebu pandisha juu kidogo. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Tena hapo panakuwa na mahindi ya kuchemshwa woiiiiiiiih.
Kwanza wee una case na mie, ila bas tyuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jeuri sana mjukuu[emoji1]
KaribuNaomba mlongo jaman, uwiiiiih, [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Nimemis masuku na madonga.Huku tunafaidi sana
Napenda sana ndizi mbivu,,lakini nikiwa dar siwezi nunua labda ninunuliwe
Dar ndizi moja 300 aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenitapeli!
Siipandi ng'o!Airbus 380 imerushwa kwa kutumia mafuta ya kupikia.
![]()
Sikuwepo sasa.Badae Alirudia shos !!
Khaaaaahameshaifuta
Madonga sijawahi kuyaelewaNimemis masuku na madonga.
Panaitwaje hapa mkuu?
Ndyoooh mrembooooh, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Ilikuwa hii picha dear View attachment 2222100
Haswaaaah.2017-Iringa.View attachment 2222102
Unanitamanisha mnooo.
[emoji7][emoji7][emoji7]Ndyoooh mrembooooh, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]