Selfika na JF: Snap it. Show it


Lizarazu unaitwa huku.
 
Ila kusema ukweli mwenyewe ninavyoongea hapa utadhani mie ndiyo nina huo ujasiri wa kuonana na mtu wa JF,, haki namuunga mkono joanah alijisemeaga suala la kuonana na mtu yeyote wa JF ni gumu sana tutataniana humu tutacheka ila kuonana daah..
Just be real here and outta here...

Zamani we used to hang out like a lot, i just miss em old days...

Anyway kila zama na kitabu chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…