Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Jirani kuna code yako moja hivi ulikuwa umegonga denim jacket na boots afu kama umekaa kwenye jiwe....Kwaiyo sie inakuwaje jiraniii [emoji19][emoji19][emoji19]
Jirani kuna code yako moja hivi ulikuwa umegonga denim jacket na boots afu kama umekaa kwenye jiwe....Kwaiyo sie inakuwaje jiraniii [emoji19][emoji19][emoji19]
Sema vizuri kumjua mtu wengine mioyo yao miepesi si watu wa matani kidogo anapanic
Hapa mgeni jirani.. Travolta najua vile vya maboss flani hivi.. Timberland nayo ni travolta au safari boot
😅😅😅😅 watuzoee tu,Yeah najua kuna watu wa aina hiyo...
Kama Easy E alivyoingia white house sio..[emoji2]
Hahaha,Mangi hata ukienda kula krismasi kule mndenyi huchomekei...[emoji2]
Wao si wapenzi wa kuchomekea suruali kiujumla; hawajaspecify cadets[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman hata mr kahawa, ambition wamesema hawachomekei, means nn? Msiwe wabishi lol.
Basi nimejifunza kitu hapa, najuaga Travolta vile vya kiboss vile wanapenda sana wanaumw wa dar es salaam na stuff wa bank 😅😅😅Ndiiioooooo!!
Abeeee nkamu. Najitahidi ku-google[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] hata km jaman cadets sio ya kuchomekea.Wao si wapenzi wa kuchomekea suruali kiujumla; hawajaspecify cadets
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] 2pac wa buza.
Kisa umeona ripped jeans[emoji57][emoji57][emoji57]Weuweeeeeeeeeee hapa sasa ndo penyeweee, pandisha juuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaaah wee si amodolize kidogo tyuuh, ndo kuachia bwanga hivyooo. Lol
Kama mbeleee vileeeeee 🔥🔥🔥🔥Nimeiona shangazi, huwa nagongea kwa baba Mchungaji siku mojamoja.
Nilimaanisha boots za kupanda hivi na sio Travolta moka za wakuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2221573
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pandisha juu mama malezi, kumbe mambo makarii unayajua, afu unajitoa ufahamu hapo unyama mwingi sana.Kisa umeona ripped jeans[emoji57][emoji57][emoji57]
Ndyoooo shouzzzzz ake,[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Mi mwenyewe travolta natupiaaa... nje ya kazi lakini!! ila kwa wanaume kazini fureshi tuView attachment 2221587
Umependeza.Mi mwenyewe travolta natupiaaa... nje ya kazi lakini!! ila kwa wanaume kazini fureshi tuView attachment 2221587
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acha basi[emoji2][emoji2]
Thanks pilot 😉😜!Umependeza.