Ntiluseswa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 670
- 2,278
Napenda sana kunyoa mamna hiyoWacha wee!
Big umenyoa kipara
Napenda sana kunyoa mamna hiyoWacha wee!
Big umenyoa kipara
Niuzie basi hio moka..Naf beach Hotel N'twalaView attachment 2220715
Sanaaaaaaa jiraniiiiMamaaaaa Pastaaaa natumai ume enjoooooy 😁😁😁😁
“But ask the beasts, and they will teach you; the birds of the heavens, and they will tell you; or the bushes of the earth, and they will teach you; and the fish of the sea will declare to you. Who among all these does not know that the hand of the Lord has done this?
Heaven Sent
Hata 10 ikibidi 😵Lizzy unakulaga mara ngapi kwa siku?sijawahi kuona picha tofauti na chakula
Nitumie basi 😒😒
Nilidhani trafikiSasa kwanini uliamua kuwa soja wa tipidiefu?


Kwa usafiri gani kifike haraka??Nitumie basi 😒😒
Ndevu kama taka taka flani hivi.. fanya kusaka hela tu mkuu ziendane na idadi zaidi ya ndevu zako


Location

Mzee Baba umekidhi vigezo vyote vya wadada wa hapa jfKuishi kwa posho,moka kwa hisani ya jokeri.View attachment 2220894


Naomba urudi na samaki nchanga KakaNaf beach Hotel N'twalaView attachment 2220715

Kazi inanilazimu kuchomekea ila sipendi.So kitaalamu hiyo pic ni ulimbo?Mzee Baba umekidhi vigezo vyote vya wadada wa hapa jf
Tall,dark handsome na kikubwa zaidi umepiga shati jeupe na umechomekea
Kuna Uzi humu ulipostiwa juzi wadada wakipenda staili yako ya uvaaji
ngoja waje....
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nyumbani na mke wangu 😅😅😅Location![]()
hapo naona kwa boda boda chap chap kiwe cha moto motoKwa usafiri gani kifike haraka??