spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,120
- 21,812
Kuna kitu nataka nije kukuuliza nkamu[emoji23]Nimekumiss Nkamu wangu
Ngoja nikale aisee
Uvumilivu wa nini?Tuko pamoja mzee mwenzangu...
Mungu Akutie nguvu na uvumilivu [emoji1545]
😏😏😏😏Haya maombi yako[emoji38]
Badobado nakipenda kiuno nyigu
Kuna kitu nataka nije kukuuliza nkamu[emoji23]
@Chakorii sijawah kukuona unaposti fanya leo basi[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Acha ukorofi lastboniUvumilivu wa nini?
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]Njoo niulize Nkamu nipo free[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwezi leta mchezo mchezo kwa dunia hii tunaishi mala mala moja,,Thx broBraza hutaki mchezo mchezo
Umetisha sana
Mimi sijaambiwa Mungu anipe uvumilivuAcha ukorofi lastboni
Yoh bigiiii unyama sana mwaisaHuwezi leta mchezo mchezo kwa dunia hii tunaishi mala mala moja,,Thx bro
Sanaaaa tyuBigiiiiii
Pamoja sana
Fanya kwanza wewe mkuu@Chakorii sijawah kukuona unaposti fanya leo basi
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Nmeweka sana mkuu hata janaFanya kwanza wewe mkuu
Unyenyekevu unyenyekevu unyenyekevu…..na kuchangua cha kuzungumza kipi na kipi cha kuacha😁Mimi sijaambiwa Mungu anipe uvumilivu
Ina maana moja kwa moja naonekana pasua kichwa[emoji1787]
Weka sasa Kwa ajili yangu na unitag