Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Shangazi Strawbella 😎😎
Na kamwili kake kako very flexible mauno kama yote😂🤣🤣🤣 kinamwaga miuno likely imeisha hiyooo
😂😂😂😂😂😂😂😂 niache nitalia ujue
Unene unakuja wenyewe, ngoja nianze mazoezi.Ukishakuwa mfupi sasa unaruhusu unene wa nini 🤣🤣🤣
Sasa we daily choma unadhani unene utakuepuka?Unene unakuja wenyewe, ngoja nianze mazoezi.
😂 feni mbovuNa kamwili kake kako very flexible mauno kama yote😂
Usilie bestie angu ndio ukubwa huo🤣🤣
Shangazi Strawbella [emoji41][emoji41]
Unene unakuja wenyewe, ngoja nianze mazoezi.Ukishakuwa mfupi sasa unaruhusu unene wa nini 🤣🤣🤣
Ulale unono Shangazi shangazi Strawbella 😁😁😁 Muumba wako akutunze na kukulinda[emoji1602]
🤣🤣🤣😂 feni mbovu
🤣🤣🤣 ukubwa jau
Upunguze kula[emoji16]Unene unakuja wenyewe, ngoja nianze mazoezi.
Kwema, then mjukuu wako kaniblock! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]Asante.
Kwema lakini ?
Ulale unono Shangazi shangazi Strawbella [emoji16][emoji16][emoji16] Muumba wako akutunze na kukulinda
Mie kibonge mwepesi.Sasa we daily choma unadhani unene utakuepuka?
Emu jipost nikuoneMie kibonge mwepesi.
Nitaku tag.Emu jipost nikuone
Salama shangaz umeshindajeSalama?[emoji2][emoji2]
Mbona hata sili sana, kama wali nusu kilo na nyama na ndizi kama 4, mbona ni kipimo cha kawaida kabisa 😁
Duh [emoji16] wali nusu kiloMbona hata sili sana, kama wali nusu kilo na nyama na ndizi kama 4, mbona ni kipimo cha kawaida kabisa [emoji16]