Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,258
- 49,190
Wanasema afadhali umkute wa kiume huwa wanahuruma Sana Ila akina sie mmmhMabandidu wale[emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wanasema afadhali umkute wa kiume huwa wanahuruma Sana Ila akina sie mmmhMabandidu wale[emoji2][emoji2]
Hahah... halafu mwezi huu pale mgongoni chini wanapochoma kale kasindano ka ganzi pananiuma kweli kweli!!
Basi itakua hivyo mwayaaaa.Kama huna sababu ya ki medical Bora ujifungue kawaida tu shos!
Na risk ni kubwa pia Bora kawaida tu!Ukifanyiwa op sawa unauweka mwli jeraha lisilopona dear na Bora kawaida wanawake tumeumbiwa tuzae kwa uchungu tucheze segere huko Hadi kielewek[emoji28][emoji28][emoji23]ikitokea bahat mbaya ni Op Basi ni mapenz ya Mungu pia
Pata picha ujikate kisu jeraha lilivo na linavouma imagine zikatwe layer sio chin ya tatu kufikia mtoto [emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
PolesanaHahah... halafu mwezi huu pale mgongoni chini wanapochoma kale kasindano ka ganzi pananiuma kweli kweli!!
Nipo mtaani hapa
Wanasema afadhali umkute wa kiume huwa wanahuruma Sana Ila akina sie mmmh
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kuchanua misamba ndio kitu gani!Leo tuko busy na mada za kuchanua misamba threatre
Wamama ni wakatili kila sehemu,hili lipo waziWakiume wana huruma sana..
Soma soma mada utapata pointKuchanua misamba ndio kitu gani!
Pale mwanzo huwezi hata kucheka mdogo wangu na usiombe uugue kikohozi utakufa mbona![emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
Mm mzee wa Azam embe [emoji23]na grand malt sinaga mambomengiNipo mtaani hapa
Baadae jioni tukapige sato na balimi
Nitag basi mchumba wa kufa na kuzikanaMwaka mpya na mambo mapya.
Labda nikusaidie tu kuzitafuta.
Niambie tu fasta ili nijue kama naweka kambi au nirudi chumbani kwa mama Eli tutafute last born wetu..[emoji1787]Soma soma mada utapata point
Wamama ni wakatili kila sehemu,hili lipo wazi
Ndugu yangu alibanwa kikohoziPale mwanzo huwezi hata kucheka mdogo wangu na usiombe uugue kikohozi utakufa mbona!
Ndugu yangu alifanyiwa op alikufa kisa kikohozi !!
Kuzaa ni kujitolea uhai sio mchezo [emoji24][emoji24][emoji24]hata ukifatilia historia za matatizo menginya wanawake ni baada ya kujifunguaPale mwanzo huwezi hata kucheka mdogo wangu na usiombe uugue kikohozi utakufa mbona!
Ndugu yangu alifanyiwa op alikufa kisa kikohozi !!