Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuzaa ni kujitolea uhai sio mchezo [emoji24][emoji24][emoji24]hata ukifatilia historia za matatizo menginya wanawake ni baada ya kujifungua

Utasikia mguu ulipooza baada ya kujifungua
Mwingine kibofu kililegea baaada ya kujifungua

Mishono isiyopona
Vifafa baada ya mimba khe nyie

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ukijifungua Ukawa salama ni kushukuru sana mungu...kuna jirani hapa nikama amepararaizi mpaka leo .. ni baada ya kujifungua tu!!
 
Mr vochaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inabidi nimtafute Mrs Vocha humu[emoji1787]
Hebu mtafute tumuone yaan ufanye haraka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaa,nyie sasa mnatekeleza mada hii Kwa vitendo kabisa.
Kumbe ndio mada mezani, basi ngoja nikaendeleze kazi, huyu last born anakuwa mzito kuja..nitaomba mkemia mahondaw anipe abc za nini nifanye[emoji1787]
 
Kumbe ndio mada mezani, basi ngoja nikaendeleze kazi, huyu last born anakuwa mzito kuja..nitaomba mkemia mahondaw anipe abc za nini nifanye[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Tumeacha ngoja tuendelee kuselfika tu mkuu!
 

20220508_133226.jpg
 
Back
Top Bottom