Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Inategemea dirishani umeweka bomba za aje… kama ni single pazia moja fresh…

Double ni pazia 3
Bomba dabo halafu dirisha kama zote.
Kudadeq badilisheni tu pazia..Mimi nikibadilisha sana za vyumbani zinaenda sebuleni,za sebuleni vyumbani nishamaliza kazi[emoji2096]
 
Not army green… ni kama apple green flani hivi
Duh
Utadhani najua sasa rangi [emoji1787]

Wa ushuani hatuna shida na rangi..hata tukiweka za CCM zinakaa tu.
Shida ni vile Vistoo vyenu vinachagua rangi mno na Kuta zenu za rangi mbili kama wa Heaven Sent [emoji1787][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
 
Yeah aunt jackies pia nzuri mimi nilikua natumia curl la la
Shangazi mm nimepata pimples katk kipind Cha MP zimenikomesha zinaniachia makovu natka nitengeneze coffee scrub Ila sijaelewa namna ya kuchanganya upande wa mafuta coz ninauso wa mafuta pia Nina
Kahawa
Unga wa mchele
Nin kingine kitanifaa kwa usowang wa mafuta nikae sawa

Na usoni huwa natumia Dr rashell face serum pekee

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani vpi?
We mbona tokea ujue kuna gram za kkoo hutupumzishi wenye zero gram?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wenye pazia Moja tunanyanyasika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ngoja nikomae tu na hizo moscharaiza ,nikizipata nianze na Mimi kuwanyanyasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom