Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Ipi nzuri zaidi shangazi?
Mimi natumia zote ila cantu nzuri zaidi japo bei imechangamka...
Nywele zangu zinAkua laini na huwa ni ngumu sana..
Ipi nzuri zaidi shangazi?
Wee nitumie kule bana!umepitwaaaaah.
AsanteK'koo maduka yale vipodozi, zinarange 15,000 to 25,000 inategemea na duka.
Kwa nachuro hair cantu ni nzuri + Aunt Jackie's leave in conditioner hiyo nayo ni kiboko ya nywele ngumu


Una hela kwanza? Au tu unataka ukazunguke umo kkoo mpaka wakuibeAsante
Nitatafuta
Asipokuja ujue hajaona notificationNa akupuuze nikucheke![]()














K'koo maduka yale vipodozi, zinarange 15,000 to 25,000 inategemea na duka.
Kwa nachuro hair cantu ni nzuri + Aunt Jackie's leave in conditioner hiyo nayo ni kiboko ya nywele ngumu
Hizo ni tabia za Saint Anne na ananifundisha… emu mchape 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana
Ndio unatunanga wenye set moja ya pazia sio poa ujue
Emoj 2096Asipokuja ujue hajaona notification
Watu wa ushuani hatuna tabia za kigodauni za kupuuza![]()
We mtoto bhana
Wewe weka tu hata nyeusi.. ili mradi inamatch na ndani






nyeusi huu wanga sasa.Una hela kwanza? Au tu unataka ukazunguke umo kkoo mpaka wakuibe












..atachukua nini sasa na kilo zenyewe Sina.









Mna hamu ya kuchambwa naonaTatizo umeme 🤦♀️
Gram zinaharibu masikio 🤣🤣
Tangu awe na pazia nyingi basi wenye set Moja hatupumuinimecheka sana
Ndio unatunanga wenye set moja ya pazia sio poa ujue

😁 Shangazi labda uwahi maji ya kunya nayo yanaelekea kuishaMjomba nakuja chap...
nyeusi huu wanga sasa.








Kwamba ni mbaya? Sema tu mie siwezi 😂nyeusi huu wanga sasa.
KwendaaaEmoj 2096
emu niwache… ndio ushapuuzwa hivyo





Sio pazia zote zinakua 3 ktk set 1, zipo za 2 pia.Set ina pazia 3.. ujue ilo.
Na dirishani utaweka in set…
It depends na wewe una dirisha ngapi…
Let say una mbili… ukichukua set 2 ni pazia 6 hizo, sasa next time ukipata hela utarudia kununua the same color of the previous set? Will you? If you’ll we utakuwa mtu wa kwanza nakutana nae… ni impossible bana
Kama ni wale wa kununua kapazia kamoja moja sawa… maybe inaweza kuwa hivyo unataka iwe.
AsanteMimi natumia zote ila cantu nzuri zaidi japo bei imechangamka...
Nywele zangu zinAkua laini na huwa ni ngumu sana..

Amesahau alikotoka🤣🤣Tangu awe na pazia nyingi basi wenye set Moja hatupumui![]()
Saint AnneMna hamu ya kuchambwa naona