Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Umetumia lugha ngumu??Kasome tyuuh sis ake.
Nauliza ili nisije toka mweupe.
Umetumia lugha ngumu??Kasome tyuuh sis ake.
MaroonWhite.
Grey
Cream.
Hizo ni konkiiiiiiih.
Wana shampoo pia ni full package inakuwa japo ulitaka kununua kimoja kimoja sio mbaya
Kama zile nilizikuta kwako mwaya😉White.
Grey
Cream.
Hizo ni konkiiiiiiih.
MaroonWhite.
Grey
Cream.
Hizo ni konkiiiiiiih.
Huku 15000 ya mega sema huku wanauza vitu Bei juu dar ni rahis kuus Cantu ngoja nitakupa jibu kamili sio mda mrefu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Green niliiona kwa mtuMie nimeipenda, yellow na green ndio siwez![]()
AiseeeTatizo umeme 🤦♀️
Gram zinaharibu masikio 🤣🤣
Ipi nzuri zaidi shangazi?Cantu 25 mpaka 30 inategemea na sehemu
Kijani cha jeshiGreen niliiona kwa mtu
Imetulia 🤣🤣🤣
Ile green nini sijui wanaita.. wacha green ya CCM
Sio orangewewe mzee wa grey na white tu. Orange mbona nzuri sana eti.
Nikichukua vyote itakuwa vizuri.Wana shampoo pia ni full package inakuwa japo ulitaka kununua kimoja kimoja sio mbaya
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kabisa Ila hapo haziwez kushindwa naaminNikichukua vyote itakuwa vizuri.
Zishindwe tu katani zangu sasa![]()
K'koo maduka yale vipodozi, zinarange 15,000 to 25,000 inategemea na duka.Kwa Dar huwa zinapatikana maduka Gani?
Mafuta Gani mengine mazuri Kwa nywele fupi ngumu??
Na shampoo Gani ni nzuri?
Niliwaza kutafuta pasi ila Kuna mtu akaniambia inakata nywele.
Not army green… ni kama apple green flani hiviKijani cha jeshi
Inategemea dirishani umeweka bomba za aje… kama ni single pazia moja fresh…Kwahiyo unatusimanga wa pazia mojamoja?
🤣🤣🤣🤣 nimecheka sanaNimekuita uniondoe hapa 🤣🤣🤣
Hakika
