cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
[emoji3448] nayo rangi ya kuweka dirishan? Kuweni serious bas lol.We mtoto basi huzijui rangi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3448] nayo rangi ya kuweka dirishan? Kuweni serious bas lol.We mtoto basi huzijui rangi
Amekariri cream tu hapo alipo…We mtoto basi huzijui rangi
Heee🤣[emoji3448] nayo rangi ya kuweka dirishan? Kuweni serious bas lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaman halafu hutuambii [emoji23]Kuna mtaa nilimkuta mjomba ilibidi nitumie magnifier kuhakikisha ni yeye[emoji23][emoji23][emoji2096][emoji2096]
Godauni mtatoa wapi hivyo vitu sasa😂Washing machine zipo mpaka za laki3 na chini ya hapo, utatuambia nini? 😂😂
[emoji23] wewe mzee wa grey na white tu. Orange mbona nzuri sana eti.[emoji3448] nayo rangi ya kuweka dirishan? Kuweni serious bas lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
White.Heee[emoji1787]
Sema basi,rangi Gani nzuri.
Ngoja nikasome Uzi wako sasa japo ule wa Yoga hata page ya 50 sijafika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nan kakuambia habadilishi pazia?
Pazia zinakua pair hata 4, ila rangi 1, ikifuliwa hizi zingne zinawekwa, ila km zile zile,
Sio unatoa kijani, unaweka blue, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Badilisha, acha kuniangusha bhana dada mzuri. Woiiiiiih
Na cream dea. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23] wewe mzee wa grey na white tu. Orange mbona nzuri sana eti.
Watakuelekeza dear[emoji23]nenda kariakoo mtaa msimbazi kule wanakouza vipodoziAsante Auntie wa Junia..
Ngoja niende kuisaka.
Kwahiyo zote napaka Kwa mpigo?
Ushamba huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kasome tyuuh sis ake.Ngoja nikasome Uzi wako sasa japo ule wa Yoga hata page ya 50 sijafika
We mtoto bhana😃White.
Grey
Cream.
Hizo ni konkiiiiiiih.
Mie nimeipenda, yellow na green ndio siwez [emoji16]Na cream dea. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji3448]? Real? Aaaaah wee
Set ina pazia 3.. ujue ilo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nan kakuambia habadilishi pazia?
Pazia zinakua pair hata 4, ila rangi 1, ikifuliwa hizi zingne zinawekwa, ila km zile zile,
Sio unatoa kijani, unaweka blue, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Badilisha, acha kuniangusha bhana dada mzuri. Woiiiiiih
Asante.Watakuelekeza dear[emoji23]nenda kariakoo mtaa msimbazi kule wanakouza vipodozi
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
😂😂😂 kwahiyo ukiwa na hizo unafunga hesabu? Hata ukiokota hela?White.
Grey
Cream.
Hizo ni konkiiiiiiih.
Abee umeniita?🤣🤣🤣Sina pazia aina 1
Siwezi rudia rangi
Sibadilishi..
yan January to December umewekaga tu cream/ rangi ile ile?
Can’t copy that!
Kwahiyo unatusimanga wa pazia mojamoja?Set ina pazia 3.. ujue ilo.
Na dirishani utaweka in set…
It depends na wewe una dirisha ngapi…
Let say una mbili… ukichukua set 2 ni pazia 6 hizo, sasa next time ukipata hela utarudia kununua the same color of the previous set? Will you? If you’ll we utakuwa mtu wa kwanza nakutana nae… ni impossible bana
Kama ni wale wa kununua kapazia kamoja moja sawa… maybe inaweza kuwa hivyo unataka iwe.
Tatizo umeme 🤦♀️Godauni mtatoa wapi hivyo vitu sasa😂
Kama gram 10 tu ni kipengele,mnapambana na makapu 😃
Nimekuita uniondoe hapa 🤣🤣🤣Abee umeniita?🤣🤣🤣