Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Tulia wewe.Emu hama hapo nyumbani ndio uje kuongea na mimi [emoji849]
Sikai godauni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
Tulia wewe.Emu hama hapo nyumbani ndio uje kuongea na mimi [emoji849]
[emoji28][emoji28][emoji28] chapati nne zinatosha shangazi au waongeze mbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una mix na red, iwe kituo cha kuchukua nyota za watu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatupia tu,kunakuwa kama chumba cha mganga wa jadi
Shauri zakoSaint Anne
Sitaki tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Nichambwe!! Mikausho mikali, ni shida zenu sio zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rangi mbili Kama shule 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣emu tuache.Duh
Utadhani najua sasa rangi [emoji1787]
Wa ushuani hatuna shida na rangi..hata tukiweka za CCM zinakaa tu.
Shida ni vile Vistoo vyenu vinachagua rangi mno na Kuta zenu za rangi mbili kama wa Heaven Sent [emoji1787][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
Siwezi kabisaaa yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba ni mbaya? Sema tu mie siwezi [emoji23]
Black ni nzuri…
😂😂😂😂😂😂Shauri zako
Mimi mwenzio huwa sizingatii vichambo
Tunamuangalia tu mtoto wa juzi huyu alikuwa anakatika Nyerere square hana hata nusu pazia.Amesahau alikotoka[emoji1787][emoji1787]
Wacha tu tumfichie siri
Kwamba huna kitu cha black?Siwezi kabisaaa yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiiioooooo.... 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸 Hapana chezea bossi!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyooo, afu ukija tena unibebe za cream km ulizokuta hapa boss, [emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipo hapa mzungu nasubiria ya kigauni fanya wepesi
😬😬😬 Shangazi na zingine acha wakufungie utakula njiani wakati unarudiWaongeze nne kabisa[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bomba dabo halafu dirisha kama zote.
Kudadeq badilisheni tu pazia..Mimi nikibadilisha sana za vyumbani zinaenda sebuleni,za sebuleni vyumbani nishamaliza kazi[emoji2096]
😂😂😂😂😂 square nilikuwa naenda kupaka rangi na kupiga photoshoot za jero jero.Tunamuangalia tu mtoto wa juzi huyu alikuwa anakatika Nyerere square hana hata nusu pazia.
Ingekuwa vichambo vinamaliza kilo basi leo hii fiftee nisingekua nayo ..ningekuwa kwenye negative saahizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapiii.Weee kwa hizo pozi ni Hatari..na uzee wangu huu sidhani kama naweza kukunja miguu hivotena!!
Nasubiria simu izimike 😂Si ukafue 😅😅
We dirisha 4kubadilisha pazia maisha ya kuunga haya[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 usije siku kuliaIngekuwa vichambo vinamaliza kilo basi leo hii fiftee nisingekua nayo ..ningekuwa kwenye negative saahizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapiii.