Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua kushiba na kuona njaa
Katika yote wewe bado Mungu

Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
Naujua udhaifu, na kuwa na afya
Katika yote wewe bado Mungu
 
Nimekumbuka kuna kipindi nilikwenda Makete; kwa lile baridi niliona Mbeya huwa tunatania kusema kuna baridi. Basi nikarudi zangu Uyole; nikawa nahitaji kitu town one time, nikasema ngoja tu nivae kishifoni hiki, so far kuna kajua na ninakwenda tu na kugeuza chaap. Jamani Ile nimerudi home, kilianza kikohozi hicho; nilikohoa hadi nikahisi nitakohoa na moyo sasa. Sikurudia huo usleikwini
huku hata kuwe na jua vipi huwa natembea na sweta wewe ukatoka na kiblauzi pekee cha moto ulikipata pole.

Shida ya baridi la Mbeya linakupiga hadi kwene mifupa unaliskia, mimi kila nikija huku lazima niumwe hapa nina wiki 2 nakohoa na mafua juu juzi ndio nmepata afadhali. Huku hakufai kabisa.
 
Auntie Junia kichwa kilinikalisha hiki
Nilikuwa najisuka Mdogo mdogo nikawaza nikilala bila kumaliza basi kuchana nywele zilizolala itakuwa kasheshe.
Hahha iyo hatari kujisuka usiku kucha nunua blow dry siku ukichoka kusuka usiku ukiamka asubuh unanyoosha unaendelea na kusuka sema uwe umeagana na tanesco

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Feelin' unworthy of Your grace
Feelin' unworthy of the price You paid for me
Even when I fall, Your love paid it all
I don't deserve it, I don't deserve it

… Oh Lord, I know I get weak
But in You, I am strong
Your love paid it all

I know You still love me
You still love me
You still love me
Even when I fall


I'm not perfect, I don't deserve it
You didn't change Your mind, left my past behind, oh Lord
See I'm not perfect, but still You call me worth it
You didn't change Your mind, left my past behind, Lord

You still love me....View attachment 2216336
Sawa dada skuna
 
huku hata kuwe na jua vipi huwa natembea na sweta wewe ukatoka na kiblauzi pekee cha moto ulikipata pole.

Shida ya baridi la Mbeya linakupiga hadi kwene mifupa unaliskia, mimi kila nikija huku lazima niumwe hapa nina wiki 2 nakohoa na mafua juu juzi ndio nmepata afadhali. Huku hakufai kabisa.
Cha ajabu sasa ukiwa Mbarali unasahau kabisa kama upo Mbeya. Sogeasogea tu mlima nyoka, mifupa inashtuka yenyewe
 
Back
Top Bottom