Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahha iyo hatari kujisuka usiku kucha nunua blow dry siku ukichoka kusuka usiku ukiamka asubuh unanyoosha unaendelea na kusuka sema uwe umeagana na tanesco[emoji23]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Lipo ila nywele zangu zikiwa fupi ni ngumu kama katani.

Halafu kuchana nywele zilizolala zinaumaaa.
 
Back
Top Bottom